Back to top

News

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Geophrey Pinda ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kujenga mahusiano mazuri na wafanyabiashara wa eneo Majimoto katika Halmasauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi.