Back to top

Madarasa yakamilika kwa 100% Mwanga.

20 December 2021
Share

Halmashauri ya wilaya ya Mwanga Mkoani  Kilimanjaro imekamilisha kwa 100% ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni mia mbili arobaini, hali itakayosaidia wanafunzi wote zaidi ya 2,500 waliochanguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani kupata nafasi.