Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa maelekezo kwa wabunge wake likiwemo la kuwataka kuacha kuhudhuria vikao vya bunge au kamati za bunge, kujiweka karantini kwa muda usiopungua wiki mbili,na kubaki Dodoma mpaka watakapothibitika wao ni salama.