
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha inayosikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imepokea gari aina ya Land cruiser alilouziwa Sabaya na shahidi wa kumi na mbili Sabri Sharif ambaye ni mfanyabiashara wa magari kama kielelezo cha ushahidi mahakamani hapo.
#ITVUpdates
