Back to top

MASHAHIDI KESI ZA UKATILI GEITA WATISHWA

02 February 2023
Share

Jeshi la Polisi mkoani Geita, limesema kesi nyingi za ubakaji, ulawiti na vipigo kwa watoto wenye mahitaji maalumu zinaishia njiani kutokana na mashahidi kutishwa na ndugu wa watuhumiwa, hali inayosababisha mashahidi kukimbia kutoa ushahidi na kusababisha watuhumiwa kuachiwa huru na kuendeleza na ukatili huo.

Hayo yamebainishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Geita, ACP Bethaneema Mlay. 

Msimamizi wa kitengo cha Elimu Maalumu katika shule hiyo, Edwick Ndunguru ameiomba jamii kuwasaidia mafuta ya kulinda ngozi watoto wenye ulemavu wa ngozi, kutokana na wazazi wao kutokuwa na uwezo wa kuwanunulia.