Ngoma ya mashetani na majini inayochezwa na moja ya makabila yaliyopo kusini imetajwa kutumika kutibu magonjwa ya aina mbalimbali licha ya serikali ya wilaya ya mtwara kuzipiga marufu.
Ngoma hizo ambazo zimekuwa zikichezwa kinyemela na hivyo kusababisha jamii kutibiwa kwa waganga wa kienyeji badala ya vituo vya afya na hivyo kusababisha usugu wa magonjwa lakini pia vifo.
