Back to top

Rais Samia ateua Mwenyekiti mpya NEC.

27 December 2021
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Jacob Casthom Mwabegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mwabegele ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
.
Jaji Mwabegele anachukua ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake.