Back to top

RAIS SAMIA ATEUWA MWENYEKITI WA BODI CBE.

09 November 2021
Share

Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Wineaster Saria Anderson kuwa Mwenyekiti
wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).
.
Prof. Anderson anachukua nafasi ya Prof.Eleuther Mwageni ambaye alifariki mwezi Julai, 2021.
.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ikulu imeeleza kuwa Uteuzi huo umeanza tarehe 07 Novemba.