Back to top

Rais Samia azungumza kwa simu na Wakuu wa shule.

17 December 2021
Share

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, amezungumza kwa njia ya simu na wakuu wa shule za sekondari waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Wakuu wa Shule za Sekondari za Serikali na Binafsi unaofanyika jijini Dar es salaam, na kuwaeleza kuwa ameshindwa kuhudhuria Mkutano huo kutokana na majukumu mengi ya kikazi lakini anaufuatilia kwa ukaribu na yupo pamoja nao.