Shule ya msingi Mwabasabi iliyopo katika Kijiji Cha Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu yenye wanafunzi 1965 inakabiliwa na upungufu wa vyumba 44 vya madarasa ambapo wanafunzi 4 hukalia dawati mmoja.
Wananchi wa Kijiji hicho wafanya harambee ya kuchangia ujenzi wa madarasa.