
Klabu ya Simba imetangaza kuachana na Kocha Msaidizi wa klabu hiyo Thierry Hitimana ambapo kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imebainisha kuwa pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba ambapo Klabu hiyo imemshukuru Kocha huyo kwa mchango wake alioutoa toka ajiunge nayo.
