Back to top

TRUMP adhamiria kugombea Urais mwaka 2024.

14 September 2021
Share

Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema atagombea tena kwenye nafasi hiyo ya urais katika uchaguzi wa mwaka 2024,  kutokana na serikali ya sasa kushindwa kuzuia hali ambayo inayoshuhudiwa nchini Afghanistan.
.
Ametoa msimamo huo wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha Fox huku akisisitiza kuwa imefikia mahala ambapo hakuna njia nyingine isipokuwa yeye kugombea.