Back to top

Uongozi wa Shule za Filbert Bayi umetishia kuishitaki TFF kwa FIFA.

20 July 2021
Share

Uongozi wa Shule za Filbert Bayi umetishia kulishitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kushindwa kulipa deni la zaidi ya shilingi milioni 76 lililotokana na mkataba wa kutoa huduma za viwanja, chakula, malazi na usafiri kwa timu za taifa za vijana na wanawake zilizoweka kambi katika shule hiyo iliyopo Kibaha kuanzia Machi 6, 2019 kwa gharama ya shilingi milioni mia tano ishirini na moja laki nne na hamsini na tano.