Back to top

Virusi vya Corona vyazidi kupaa.

23 February 2020
Share

Korea Kusini imeripoti ongezeko la maambukizi mapya ya virusi vya Corona 123 na kufanya walioambukizwa kufikia 556, wakati Italia na Iran zikichukua hatua zaidi za kukabiliana na mripuko huo.

Idadi ya vifo nchini Korea Kusini nayo imeongezeka hadi kufikia watu wane,siku ya Ijumaa Italia ilikuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kuripoti kuwa raia wake mmoja amefariki kutokana na Corona na kufuatiwa na kifo kingine jana Jumamosi. 

Zaidi ya raia 50,000 katika miji kadhaa ya Kaskazini mwa Italia wameamuriwa kusalia nyumbani wakati maduka na shule vikifungwa