Back to top

Wakulima wa alizeti msikwepe kulipa madeni.

08 January 2022
Share

Taasisi ya Maendeleo ya Kilimo na Masoko Nchini imewataka wakulima wa zao la alizeti mkoani Singida waache tabia ya kukwepa kulipa madeni ya pembejeo wanazopewa na makampuni na taasisi za kifedha ili kujenga imani kwa taasisi hizo kuendelea kutoa mikopo kama hatua ya kuimarisha na kuendeleza shughuli za kilimo cha alizeti.