Back to top

Wingi wa hoja, Jaji aahirisha kesi.

16 November 2021
Share

DAR ES SALAAM.

Jaji Joachim Tiganga ameahirisha kutoa uamuzi wa pingamizi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi lililowekwa na upande wa utetezi wakiomba mahakama kumuondoa shahidi DC Msemwa na ushahidi alioutoa mahakamani hapo wakidai alikuwa na diary wakati anatoa ushahidi wake wakidai ni kinyume na kiapo cha shahidi, ambapo kwa mujibu wa Jaji huyo amesema ameshindwa kutoa uamuzi huo leo kutokana na kushindwa kuukamilisha na kuuandaa kwa wakati kutokana na wingi wa hoja zilizowasilishwa na pande zote mbili.