Back to top

Rais wa TFF na katibu wake wanashikiliwa na TAKUKURU.

28 June 2017
Share

Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Jamali Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wanahojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi.

Taarifa zaidi kukujia.