Back to top

Wasanii Arusha wailalamkia bodi ya Filamu kushindwa kuwasaidia.

03 February 2020
Share

Wasanii wa Filamu nchini wameaswa kuacha kupoteza muda kulalamikia mambo yasiyo na tija na ambayo ufumbuzi wake uko ndani ya uwezo wao badala yake watumie muda wao kuongeza ubunifu ili waweze kuingia katika ushindani wa fani hiyo Kimataifa.

Ushauri huo umetolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa bodi ya Filamu nchini alipokuwa akizungumza na wasanii wa fani hiyo jijini Arusha.