Back to top

TFF yamteua Kim Poulsen kuwa Kocha Mkuu mpya wa Taifa Stars.

15 February 2021
Share

Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limemteua Kim Poulsen, Raia wa Denmark kuwa Kocha Mkuu mpya wa Taifa Stars.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa Poulsen amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuifundisha Taifa Stars ambayo hivi sasa ipo kwenye kinyang'anyiro cha kutafuta nafasi ya kucheza fainali za AFCON pamoja na za Kombe la dunia ambazo zote zitafanyika 2022 Cameroon na Qatar.

Poulsen anachukua nafasi ya Etienne Ndayiragije, pia Poulsen waliwahi kuinoa Taifa Stars kati ya Mwaka 2021 na 2013.

Zaidi tizama hapa.