Back to top

Corona: 70% ya watu wachanjwe kufikia 2022.

30 October 2021
Share

Mawaziri wa Fedha na Afya wa kundi la mataifa 20 yanayoinukia na yaliyoendelea kiuchumi, G20, wamesema kwamba wanataka kufikia katikati ya mwaka 2022, asilimia 70 ya watu duniani kupata chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, ili kufanikisha lengo hilo Mawaziri hao wameunda kamati ya kukabiliana na janga hilo kwa njia bora zaidi.