
Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao leo, huku akisema serikali inaendelea kujenga nafasi zaidi kwao kusonga mbele kielimu.
.
Kupitia ukurasa wake wa Twiter Mhe. Rais Samia ameandika "Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao leo. Tunaendelea kujenga nafasi zaidi kwao kusonga mbele kielimu, kiujuzi na kiajira, kwa kuongeza nafasi za kidato cha tano na sita, vyuo vya ufundi stadi na mazingira bora ya nafasi zaidi za ajira"
.
#Coronainazuilika #UjanjaNiKuchanja
