Back to top

KESI YA MBOWE, DIARY YA SHAHIDI KUKAGULIWA.

17 November 2021
Share

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi yaruhusu Shajara (Diary) aliyokuwa nayo shahidi wa pili kizimbani katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya Ugaidi inayowakabili Freeman Mbowe na wenzake watatu, askari polisi Msemwa ikaguliwe na pande zote mbili.  

Uamuzi huo mdogo umetolewa na jaji Joachim Tiganga.