Back to top

Mahakama yapokea gari alilouziwa Sabaya.

15 December 2021
Share

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha inayosikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imepokea gari aina ya Land cruiser alilouziwa Sabaya na shahidi  wa kumi na mbili Sabri Sharif ambaye ni mfanyabiashara wa  magari kama kielelezo cha ushahidi mahakamani hapo.

#ITVUpdates