Back to top

Kulifanyika makosa ujenzi wa jengo la abiria.

16 December 2021
Share

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kulifanyika makosa kuanza ujenzi wa jengo jipya la abiria la Uwanja wa ndege wa Mwanza bila kuwashirikisha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), ambapo ameiagiza TAA kupeleka Mhandisi ambaye  atashiriki katika ujenzi huo unaoendelea.