Back to top

Deni la Bil. 26 wadaiwa wa NHC lakwamisha ujenzi.

30 December 2021
Share

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limesema linadai malimbikizo ya kodi kiasi cha Tsh. bilioni 26 kutoka kwa watu binafsi na baadhi ya taasisi za serikali hali inayosababisha kukwama kwa ujenzi wa nyumba zisizopungua 450 kwa ajili ya makazi nafuu kwa wananchi ambapo Shirika hilo limesema litaanza msako na kuwatangaza hadharani wadaiwa ikiwemo kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.