
Utafiti ulifanywa na taasisi ya GEOPOLL.
Utafiti ulifanywa na taasisi ya GEOPOLL inayofanya kazi zake kwenye nchi zaidi ya 8 za Afrika umeonesha kuwa vituo vya ITV na EATV zimeongoza kwa kutazamwa zaidi kwenye mechi za SportPesa SuperCup2017.
Kwa mujibu wa Taasisi hiyo umeonyesha kuwa mashindano ya SportPesa Super Cup2017 yaliyoanza kuonyeshwa siku ya Jumatatu yametazamwa na watu mili 7.5.