Back to top

Alan Shearer amkingia kifua Pogba

14 May 2019
Share

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Alan Shearer amesema kiungo mshambuliaji wa timu ya Manchester United, Paul Pogba hajahusika kuchangia timu hiyo kufungwa magoli 2-0 kwenye mchezo na Cardiff City.

Timu ya Manchester United, imemaliza msimu huu ikiwa nafasi ya sita na imetofautiana pointi 32 na Manchester City ambao ni mabingwa msimu huu.

Alan Shearer ameeleza kuwa, Pogba anaweza kuondoka Man Uited msimu huu lakini itaweza kuwa ngumu kwake kuweza kulinda kiwango chake.