Back to top

BMT yaitaka Klabu ya Yanga kufanya uchaguzi.

01 November 2018
Share

Baraza la michezo nchini BMT imeitaka Klabu ya Yanga kufanya uchaguzi na uchaguzi huo usimamiwe na TFF kwakuwa kamati ya uchaguzi iliyonayo haijitoshelezi.

Baraza hilo limeamuru wanachama wote wenye kadi tofautia kwenda kwenye matawi yao kujisajili ndani ya wiki tatu kuanzia sasa.

BMT imeitaka TFF kuchagua tarehe ya uchaguzi na tarehe yenyewe itangazwe mwezi huu 

Nafasi iliyowazi itakayojazwa Kwa uchaguzi ni pamoja na nafasi ya uwenyekiti.