Cristiano Ronald amefunga bao la 700 katika maisha yake ya soka.
15 October 2019
Share
Bao hili amefunga usiku wa leo kwa mkwaju wa penati akiwa katika timu yake ya taifa ya Portugal dhidi ya Ukraine katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Euro 2020.