Rais Wa TFF Wallace Karia amesema amesikitishwa na hali yakuachia ngazi Kwa baadhi ya viongozi wa Yanga na kuwataka viongozi waliyopo kuonesha ushirikiano Kwa wanachama na TFF.
Karia ameitaka Timu ya Simba kufanya uchaguzi ndani ya siku 75.
Kadhalika Karia amesema kanuni ya vilabu kusajili Wachezaji 10 wakigeni haitofutwa.
"Mapendekezo ya Kanuni yalijadiliwa katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya TFF na wakakubaliana na hoja za vilabu vya Ligi uu na kupitisha maombi yao". Rais wa TFF WallaceKaria