
Uongozi wa Klabu ya Yanga umemfuta kazi Kocha Luc Eymael kutokana na kauli za kibaguzi na zisizo za kiungwana alizozitoa kocha huyo zilizosambaa katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari.
Uongozi wa klabu hiyo umesema watahakikisha kocha huyo anaondoka nchini haraka iwezekanavyo.