Rais wa Shirikisho la soka Tanzania TFF Jamali Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wanahojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi. Taarifa zaidi kukujia. Share