Back to top

Ahukumiwa miaka 30 jela, kwa kumpa mimba mwanafunzi

04 August 2022
Share

Batista Ngwale mwenye umri wa miaka 27 amehukumiwa kifungo cha miaka 30 na Mahakama ya Wilaya ya Iringa baada ya kukutwa na hatia ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne mwenye umri wa miaka 18 ambaye alikuwa akisoma katika Shule ya Sekondari ya Kibena iliyopo Iringa vijijini ambapo maelezo ya mahakama yanaeleza kuwa kijana na binti walifanya mapenzi mara mbili vichakani huku Kijana akijua dhahiri kwamba binti huyo ni mwanafunzi.