Back to top

Al-shabaab wavamia Kenya raia wanne na wenzao wawili wauawa.

07 January 2020
Share

Raia wanne  na wanamgambo  wawili wa al-Shaabab wameuawa baada ya wameuawa baada ya wanamgambo wa Al-shabaab kuvamia mnara wa mawasiliano eneo la Saretho kilomita 25 kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab kaunti ya Garrisa nchini Kenya.

Polisi wanasema kwamba wanamgambo wawili wa Alshabaab wameuawa wakati wa shambulizi hilo la Alfajiri ya leo.

Bunduki aina ya AK 47 imepatikana na vilipuzi kutoka kwa magaidi hao.