Back to top

ARSENAL YAANZA KUIPA MKONO WA KWAHERI UEFA

17 May 2022
Share

Arsenal huenda wasicheze #UCL msimu ujao baada ya kufungwa mabao 2-0 na Newcastle United katika #EPL 

Arsenal wako nafasi ya 5 wakiwa na alama 66 juu yao wakiwa Tottenham na alama 68 huku wakiwa wamesaliwa na mechi moja tu ligi ifikie tamati.