Jeshi la polisi latolea ufafanuzi kuhusu kifo cha Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe aliyejitoa uhai wake kwa kujinyonga hadi kufa akiwa mahabusu mkoani Mtwara. Share