
Mamlaka nchini Korea Kusini, zimesema zinajitahidi kudhibiti mlipuko wa kunguni ambao umezua wasiwasi nchini humo.
.
Takribani matukio 17, kuhusu kunguni yameripotiwa, katika Mji Mkuu wa Seoul pamoja na Miji ya Busan na Incheon, ambapo imedaiwa kuwa Seoul imetenga zaidi ya dola laki tatu kukabiliana na wadudu hao.
.
Ikumbukwe wadudu hao hivi karibuni wariripotiwa kuwepo katika baadhi ya maeneo na kwenye usafiri wa umma nchini Ufaransa. #via #bbc
#ITVDigital #updates
