Back to top

BAVICHA wamtaka Ndugai kuacha dhihaka na kejeli kwa viongozi CHADEMA.

09 May 2021
Share

BAVICHA wamemtaka Spika bunge Mhe.Job Ndugai kuacha kuacha mara moja kejeli,  kuwadhihaki na kuwasema vibaya pale bungeni viongozi wakuu wa CHADEMA kwa sababu hakuna mwakilishi wao hata mmoja bungeni ambae atawapelekea taarifa hizo.

Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Moza Ally alipokuwa akizungumza na Mabaraza ya wanawake na Vijana wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro.