Back to top

Benki ya dunia kuipatia Tanzania mkopo wa Trilioni 1.035.

07 October 2019
Share

Benki ya dunia kuipatia Tanzania mkopo wa Trilioni 1.035 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kipindi cha pili cha mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF awamu ya tatu.

Mkataba wa mkopo huo umesainiwa na katibu mkuu wizara ya fedha Dotto James na mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia bi Bella Bird