Back to top

BIL.15 KULIPA FIDIA MRADI WA MCHUCHUMA NA LIGANGA

05 May 2023
Share

Serikali imetoa Shilingi Bil.15.9 kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi ili kupisha mradi wa kimkakati wa makaa ya mawe wa Mchuchuma na Liganga uliopo wilayani Ludewa mkoani Njombe, ambao unatarajiwa kuanza mara moja, baada ya serikali kukamilisha makubaliano na wawekezaji.