Back to top

Bw.Jaffar Mohamed Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.

09 June 2021
Share

#UTEUZI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw.Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Bw.Haniu anachukua nafasi ya Bw.Gerson Msigwa ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali.