Back to top

CCM YALAANI WANAOIBA VIFAA, MRADI WA SGR

07 January 2023
Share

Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga kimelaani vikali wanaohujumu mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR, kwa kuiba vifaa vinavyotumika kwenye ujenzi huo, yakiwemo mafuta ya dizeli, hali inayotishia kukwamisha mradi huo. 
.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, Mabala Mlolwa, wakati akitoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.