Corona yastopisha Mechi ya Marudiano Manchester City Vs Real Madrid.

Mechi ya marudiano ya raundi ya 16 Bora UEFA Champions League kati ya Manchester City dhidi ya Real Madrid imeahirishwa baada wachezaji wa mpira wa kikapu wa klabu ya Real Madrid kupimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona na hivyo timu ya soka ya Madrid kuhofiwa kuambukizwa virusi hivyo.

Hata hivyo kikosi cha Real Madrid wachezaji wake wametengwa kwa Muda wa siku 15 kwa ajili ya kujiridhisha zaidi kama wanamaambukizi.