Back to top

Daraja lasababisha kukatika mawasiliano ya barabara – Rukwa.

05 May 2021
Share

Wananchi kutoka kata ya mbili za Legezamwendo na Mambwenkoswe wilaya ya Kalambo mkoani  Rukwa wameiomba Serikali kufanya marekebisho ya haraka  katika  daraja la Mto Masasi kutokana na kulazimika kuvuka mtoni baada ya daraja hilo kukatika na kusababisha kukatika kwa awasilino baina ya pande hizo mbili kutokana na mvua kubwa zinazo endelea kunyesha hivi sasa mkoani Rukwa.