Back to top

Dauda afungiwa miaka 5 na faini ya mil. 6

16 February 2022
Share

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemfungia kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na kulipa faini ya sh. milioni 6, Shaffih Dauda ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo na kuchochea umma kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.