Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi Viongozi nbalimbali akiwemo wa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Bw.Reuben Ndiza Mfune na Wakurugenzi watano. Share