Back to top

Ghala mafuta laungua moto, Urusi

01 April 2022
Share

Ghala la mafuta lililopo katika mji wa Belgorod nchini Urusi karibu na mpaka wa Ukraine limeungua moto huku Gavana wa eneo hilo Vyacheslav Gladkov akiishutumu  Ukraine kuwa nyuma ya moto huo bila kutoa ushahidi, kufanya shambulizi la anga kwa kutumia helikopta mbili ambazo ziliingia katika eneo la Shirikisho la Urusi zikiruka kwa urefu wa chini.