Back to top

Guardiola awaombea mabaya Liverpool

16 May 2022
Share

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amewaomba Southampton waifunge Liverpool mabao 4-0 katika mchezo wao utakaochezwa siku ya Jumanne kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. 
.
Maombi hayo ya Guardiola yanafuata baada ya Manchester City kutoka sare ya bao 2-2 na West Ham United huku kocha huyo akiulizwa kama ana ujumbe wowote kwa Liverpool.