Back to top

Iringa waanza kupima mimba kwa wasichana shuleni baada ya likizo.

09 July 2020
Share

Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imeanza kuwafuatilia wanafunzi waliorejea shuleni baada ya likizo ya miezi mitatu iliyosababishwa na ugonjwa wa Covid-19 kwa lengo la kubaini utoro pamoja na wanafunzi wa kike waliopata mimba katika kipindi hicho cha likizo