Back to top

Japan yawataka vijana kunywa pombe zaidi.

18 August 2022
Share

Japan imewataka vijana nchini humo kuongeza kiwango cha unywaji wa pombe ili kuchochea ukuaji wa uchumi.Hii ni baada ya kubainika kuwa kitendo cha vijana kunywa kiasi kidogo cha pombe kuliko wazazi wao kimeathiri ushuru.

Wakala wa kitaifa wa ushuru nchini humo wameandaa kampeni ya kitaifa ya "Sake Viva!" itakayowahamasisha vijana kunywa pombe zaidi.